Nai: Mimi siwezi kufanya surgery , kuchora tattoo

Nai: Mimi siwezi kufanya surgery , kuchora tattoo

Video vixen #Nai amewataka wanawake wanaojiongezea ‘shepu’ na kubadirisha muonekano wao, wajikubali na jinsi walivyo umbwa.

Kupitia mahujiano yake na moja ya chombo cha habari alisema “kama uliumbwa uwe hivyo utakuwa tu hivyo milele, sisi binaadamu tunafanya dhambi nyingi lakini kuna dhambi nyengine mimi siwezi kumkufuru Mungu,

Mimi siwezi kufanya Surgery au kuchora tattoo kwasababu madhara yake ni makubwa, unaweza kufanya mazoezi sio lazima kufanya surgey” alisema Nai.

Soma: Uchoraji wa Tattoo unaweza kukunyima fursa hizi



Ni jambo la kawaida siku hizi kuona watu hasa vijana wakiwa wamejiremba miili yao kwa michoro ya tattoo. Ingawa tafiti nyingi za kitabibu  zinaonesha kwamba, wino au rangi za tattoo zinaweza kusababisha uambukizo wa bakteria aina ya mycobacterium cholonae.

Soma: 

Soma: Tattoo husababisha maradhi ya ngozi, kuzaa watoto walemavu






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags