Mwili wa Malkia Elizabet kuagwa siku nne

Mwili wa Malkia Elizabet kuagwa siku nne

 

Moja kati ya taarifa tuliyonayo wakati huu ni hii hapa inayohusu mwili  wa Malkia Elizabeth II utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwaride la kijeshi la familia ya Kifalme.

Baada ya jeneza lake kurudi mjini London, utalazwa katika ukumbi wa Westminister siku nne kabla ya mazishi yake ili kuruhusu raia wa Uingereza kuutazama mwili wake na kuuaga.

Mwananchi scoop iko tayari kukupa update kuhusiana na Msiba huo wa Malkia Elizabeth II kadri zitakavyotufikia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags