Mwijakui: Nilichukia wasanii kuomba Haitham achangiwe, Wasanii hawana Umoja

Mwijakui: Nilichukia wasanii kuomba Haitham achangiwe, Wasanii hawana Umoja

Mwanamitandao na mtangazaji mwijaku atoa neno kuhusu wasanii kuomba marehemu Haitham Kim aliyefariki dunia siku ya leo kwenye hospital ya rufaa Temeke jijini Dar es salaam achangiwe.
 
Mwijaku anadai kuwa wasanii walitakiwa kujichanga wenyewe ili waweze kumsaidia Haitham na sio kuomba msaada kupitia mitandao ya kijamii kama walivyokuwa wakifanya.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags