Mwanariadha wa zamani apigania maisha yake ICU

Mwanariadha wa zamani apigania maisha yake ICU

Mwanariadha mkongwe wa Olimpiki kutokea nchini Marekani Mary Lou Retton inadaiwa kuwa kwa sasa anapigania maisha yake ICU akishambuliwa kwa ukonjwa wa mapafu (Pneumonia).

Inaelezwa kuwa mwanariadha huyo wa zamani mwenye umri wa miaka 55 hawezi kupumua peke yake bila usaidizi wa mashine kutokana na aina ya ugonjwa huo.

Retton alikuwa nyota mkubwa katika mazoezi ya viungo na aliweka historia kama mwanamke wa kwanza wa nchini humo kushinda Tuzo nyingi katika mchezo wa Olimpiki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags