Mwanamke alieolewa na wanaume wawili aongeza mwingine wa 3

Mwanamke alieolewa na wanaume wawili aongeza mwingine wa 3

Hahahhaha! Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, ukisema ushawahi kuona kila kitu sasa mimi nakwambia kuna vitu bado haujavishuhudia kabisa katika hii dunia.

Basi bwana mwanamama anaefahamika kwa jina la Kenya Kilolo Stone ambae ameolewa na wanaume wawili nakuamua kuishi nao nyumba moja sasa ameamua kuongeza mwanaume wa 3.

Kenya aliamua kumtambulisha mwanaume wake huyo wa tatu kwa wanaume wake wawili ambao tayari alishafunga nao ndoa na wanaishi nyumba moja, kenya alimpokea mwanaume huyo akiwa na furaha na alimtambulisha kwa wanaume wake wawili ambao nao walikua na furaha kumkaribisha mume mwenzao amabae amefahamika kwa jina la David.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags