Mwanamitindo Tabby Brown afariki dunia

Mwanamitindo Tabby Brown afariki dunia

Mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Uingereza, #Tabby Brown amefariki dunia leo, ambapo meneja wake wa zamani amethibitisha kifo cha mwanadada.

Tabby amefariki akiwa na umri wa miaka 38 enzi za uhai wake aliwahi kuwa muigizaji na mcheza ‘dansi’ nchini humo.

Pia alionekana katika matangazo ya Canon, Virgin Atlantic, AX na Lynx, na aliigiza katika Channel 5 ya The Bachelor.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags