Mwakinyo hajaridhishwa kubadilishiwa mpinzani

Mwakinyo hajaridhishwa kubadilishiwa mpinzani

Bondia maarufu nchini Hassan Mwakinyo ambaye anatarajia kuingia ulingoni September 29, katika pambano la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental dhidi ya Rayton Okwiri sasa amebadilishiwa mpinzani.

Katika pambano hilo la ‘raundi’ 10 litafanyika jijini Dar es Salaam na sasa atazichapa dhidi ya Julius Indongo kutoka Namibia.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mwakinyo ameandika.

“Binafsi sijaridhishwa na mabadilko haya lakini ni bora kugawa chakula kilichokwisha andaliwa kuliko kutupa, natumai mashabiki zangu ni waungwana na kwa pamoja mtaelewa mabadiliko haya”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags