Mtoto wa Drake apoteza flash yenye Album mpya

Mtoto wa Drake apoteza flash yenye Album mpya

Taarifa zinadaiwa kuwa mtoto wa Drake, Adonis amepoteza Flash Drive ya Album mpya ya baba yake, Albumu hiyo inayofahamika kwa jina la “For All The Dogs” mbayo ilitarajiwa kutolewa hivi karibuni.

Sasa kutokana na hilo inadaiwa Album ya msanii huyo wa Marekani imesogezwa mbele kwa ajili ya kuweka mambo sawa. Ingawa hadi sasa Drake bado hajazungumza chochote kuhusiana na taarifa hiyo.
.
.
.
#MwnanchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post