Mtoto azaliwa na DNA tatu

Mtoto azaliwa na DNA tatu

Taharuki imezuka nchini Uingereza baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na DNA tatu kutoka kwa wazazi watatu, madaktari waligundua hilo kutokana na utaratibu uliofanyika ili kuzuia magonjwa ya kurithi kutoka kwa wazazi wake wawili.

Aidha madaktari waliona ni vizuri kutumia mbinu ya matibabu ya mitochondrial donation (MDT), yanayosaidia kumzuia mama kumrithisha mtoto magonjwa sugu.

Ingawa kwa uingereza hii ni  nijambo la kushangaza na ni mara ya kwanza kutokea jambo kama hilo.

Lakini sio mara ya kwanza kwa Dunia kushuhudia kisa hiki cha kipekee kwani mwaka 2016 nchini Mexico alizaliwa mtoto wa kwanza aliyeundwa kwa DNA kutoka kwa watu watatu kwa usaidizi wa timu taalamu iliyotokea kugundua hilo huko jijini Newyork nchini Marekani






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags