Msanii wa Kenya Tenball amjia juu Khaligraph, aikingia kifua Tanzania

Msanii wa Kenya Tenball amjia juu Khaligraph, aikingia kifua Tanzania

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #Tenball amjia juu msanii mwenzake #Kaligraph kutona na kujiona bora kuliko wasanii wa Tanzania, hiyo ni baada ya hivi karibuni msanii huyo kutoka hadharani na kuwadhihaki wanamuziki Hip-hop Bongo.

Tenball akiwa katika Interview nchini humo amesema amekasirishwa na wimbo ya Kaligraph na kusema kuwa msanii kutoka Tanzania #Rosaree ametoa wimbo mkali kumshinda yeye.

Aliendelea kueleza kuwa hakuna mkenya star mbaye alitoka bila kupitia Tanzania akiorodhesha baadhi ya wasanii wa Kenya waliotoka kupitia wasanii wa Bongo akiwemo Otile brown akidai ametambulika kutokana na Baraka Da Prince, Prezzo naye alionekana kwa sababu ya AY.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags