Msafara wa viongozi wa chadema wapata ajari

Msafara wa viongozi wa chadema wapata ajari

Ajali hiyo imetokea tabora mishale ya saa nane usiku wa kuamkia leo Aprili 27, 2023, Wilaya ya Uyui kata ya Kigwa wakati viongozi wa chadema wakielekea Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya uzinduzi wa oparesheni mpya ya Chama hicho.

Nakupatikana majeruhi katika ajali hiyo  akiwa Yohana Kaunya kaimu katibu mkuu Bavicha, Nuru Ndosi naibu katibu mkuu Bawacha ,David Chiduo.

Aidha Josephat Magambo na Daniel Marwa ambae alikuwa ni dereva wa gari hiyo  majeruhi wote wanapatiwa matibabu katika Zahanati ya Kigwa B na hali zao zikiendelea vizuri






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags