Mpenja kukiwasha Simba day

Mpenja kukiwasha Simba day

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa mtangazaji wa soka nchini Baraka Mpenja, hatimaye amerudi tena mjini anatarajiwa kukiwasha kesho kwenye Simba day .

Mpenja kupitia Instagram yake ame-share picha yake ikieleza kuwa ndiye atakaye tangaza ‘mechi’ ya kirafiki kati ya Simba na Power Dynamoss Fc kutoka nchi Zambia. Mpenja ameandika,

“Haya mniache nipumzike sasa!...Majibu ya maswali yenu ni kwamba, ndiyo kesho nitawatangazia tamasha kubwa la Simba day. ‘Mechi’ kuu ya siku itakuwa Simba Sc Vs Power Dynamos Fc ya Zambia, commentator ni mimi mwamba wa umalila.. tukutane kwa Mkapa in shaa allah. Are you ready, tukio kubwa na mtangazaji mkubwa”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags