Monalisa aanzisha Tuzo za wanawake

Monalisa aanzisha Tuzo za wanawake

Muigizaji  Monalisa amezindua tuzo za wanawake ambazo amezipa jina la ‘Women in Sport Arts and Culture Award, ambazo zitahusisha wanawake wanaojiuhusisha katika Michezo, Sanaa na Tamaduni.

Tuzo zinatarajiwa kuanza na kufanyika rasmi Novemba 3, mwaka huu katika ukumbi wa Super Dome Masaki, zikiwa na vipengele 25 ikiwemo watengeneza filamu, waandishi wa habari, ma-Dj, wasusi, wapambaji, Mc, wachekeshashi nk.

Huku kigezo maalumu katika tuzo hizo ni kuhakikisha kuwa ni mwanamke mtanzania na awe anahusika katika michezo, sanaa na tamaduni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags