Momoa na mkewe wamalizana mazima

Momoa na mkewe wamalizana mazima

Baada ya mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet kuwasilisha ombi la talaka katika mahakama ya California nchini humo siku ya jana hatimaye wawili hao wameshamalizana.

Inaelezwa kuwa kulingana na makubaliano ya kuivunja ndoa yao kila mmoja ameridhika kikamilifu kutolewa kwa talaka na kugawana mali, baada ya kutengana miaka miwili iliyopita bila kupeana talaka.

Ikumbukwe kuwa wawili hao walifunga ndoa Oktoba 7,2017 na wamebahatika kupata watoto wawili Lola na Nakoa-Wolf.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags