Mke wa Professor Jay: Uvumi wa kifo cha mume wangu uliniumiza

Mke wa Professor Jay: Uvumi wa kifo cha mume wangu uliniumiza

Mke wa mwanamuziki mkongwe wa Hip-hop #ProfessorJay, #GraceMgonjo amedai kuwa taarifa ambazo zilikuwa zinamuumiza kipindi cha nyuma ni kuhusu mumewa kuzushiwa kifo wakati akiwa ICU.

Akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari nchini ameeleza kipindi ambacho mume wake anaumwa aliwahi kuzushiwa amefariki na kuzushiwa magonjwa ambayo mume wake hakuwa nayo.

Hata hivyo Grace amesema kuwa kunawakati alikuwa anakosa support hivyo ilimbidi ajisimamie mwenyewe kusimamia familia kipindi ambacho mume wake alikuwa mgonjwa

Ikumbukwe kuwa taarifa za msanii huyo kuumwa zilianza kusambaa Januari mwaka 2022, na May 4 mwaka huu aliweza kuonekana tena akiwa mzima na kuendelea na majukumu yake kama awali.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags