Mke wa Jay Blades adai talaka

Mke wa Jay Blades adai talaka

Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuendelea na ndoa hiyo.

Tovuti ya The Sun News inaeleza kuwa mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 43, ameshauriana na wanasheria na kuwaambia marafiki anataka kufanya zoezi la kufuatilia talaka mahakamani haraka iwezekanavyo.

Lisa amedai kuwa yuko tayari kuendelea na maisha yake na ameona hakuna njia ya kudi katika ndoa hiyo huku akiwa na mpango wa kuweka juhudi kwa kuingalia familia yake na marafiki zake wa karibu.

Mwezi uliyopita Lisa walikuwa hawana maelewano mazuri hadi kufikia kutengana kwa muda na mtangazaji huyo mwenye umri wa miaka 54

Mwanamke huyo ambaye ni mkufunzi wa Gym alifunga ndoa na Blades huko mwaka 2022 katika visiwa vya na hawajabahatika kupata watoto ingawa mtangazaji huyo aliwahi kupata watoto watatu kabla ya ndoa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags