Mike Tyson Ampiga Vitasa Abiria

Mike Tyson Ampiga Vitasa Abiria

Aiseee ukisikia kimeumana ndiyo hiki hapa kilichotokea kwa Bondia maarufu duniani Mike Tyson  ambaye amempiga vitasa Abiria wakiwa ndani ya ndege.

Kwa mujibu  wa taarifa kutoka Tmz Bondia Mike Tyson ameonekana akimpiga abiria Vitasa  Mfululizo kwa madai ya kumuudhi baada ya kugoma kutulia.

Tukio Hilo  bwana lilitokea majira ya  Saa 4 usiku wakiwa kwenye Ndege kutoka San Francisco Kuelekea Florida.

Akizungumzia kitendo hicho alichokifanya bondia huyo Rapa TI Kutokea Marekani  amesema kwamba katika tukio hilo Hilo Mike Tyson  yeye hana hatia kabisa kwani Jamaa alistahili kupigwa kwasababu alimchokoza, Aaitulizwa na hakutaka kutulia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags