Michael K William afariki dunia

Michael K William afariki dunia

Moja ya stori zilizo huzunisha wengi kupitia mitandao ya kijamii hususani Instagram ni muigizaji wa marekani Michael K Williams kufariki dunia akiwa nyumbani kwake huko New York, Marekani.

Michael alipata umaarufu zaidi kupitia tamthilia ya “The wiver” aliocheza kama Omar Little na kupewa uhusika wa mwizi wa barabarani wa magenge ya dawa za kulevya.

Aidha msemaji wa Idara ya Polisi ya New york, John Grimped alisema kuwa polisi walikwenda kwenye nyumba ya Williams ya Brooklyn baada ya kupokea simu ya dharura na kumkuta amefariki jana Septemba 6, 2021 na uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha kifo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags