Mfungwa aliyetoroka gerezani adakwa tena

Mfungwa aliyetoroka gerezani adakwa tena

Mfungwa wa gereza la Pennsylvania, Danelo Cavalcante mwenye umri wa miaka 34 aliyetoroka gerezani siku chache zilizopita, amekamatwa baada ya msako mkali.

Mfungwa huyo aliwekwa gerezani kutumikia kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia ya kumuua ex wake, Agosti 16, hakuweza kuvumilia na kuchukua uamuzi wa kutoroka kupitia ukuta wa gereza hilo

Hata hivyo taarifa za kutoroka kwake ziligundulika baada ya wafungwa kuhesabiwa ndipo kwenye kufatilia camera aligundulika kuwa alikuwa ametoroka, na kusababisha baadhi ya walinzi kufukuzwa kazi na msako wa haraka kufanyika hadi kumdaka tena.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags