Messi bado anaikumbuka Barcelona kwa tattoo

Messi bado anaikumbuka Barcelona kwa tattoo

Mchezaji maarufu duniani Leonel Messi amewashangaza wadau wengi wa mpira baada ya kuona mchezaji huyo bado ana ‘tattoo’ ya nembo ya ‘klabu’ ya Barcelona.

Ambapo baadhi ya mashabiki wake wakieleza kuwa ‘timu’ hiyo ilimfanyia mema na hatokuja kuisahau katika maisha yake maana ndiyo ‘klabu’ iliyofanya jina lake liweze kukua na kutambulika duniani kote huku baadhi yao wakiamini kuwa siku moja Messi anaweza kurudi klabuni hapo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags