Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

Jeshi la Polisi huko Songwe linawashikilia Watu 3 ambao ni Mchungaji Julius Mwansimba (Baba mzazi wa marehemu) na Watoto wake, Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba (30)

Taarifa inasema kuwa, mdogo wa marehemu alifika kumuona dada yake na hakufunguliwa mlango, alimtaarifu Mwenyekiti wa Kijiji ambaye aliagiza kuvunjwa mlango na kukuta Anna amefariki huku Watuhumiwa wakiendelea na maombi

Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema Jeshi lilipata taarifa na lilichukua mwili wa marehemu ambao ulikuwa na mabaka maeneo ya usoni






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags