MC Pilipili ageukia utumishi wa Mungu

MC Pilipili ageukia utumishi wa Mungu

Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ anasema kwa sasa anahamia kwenye kazi ya utumishi wa Mungu ikiwa ni agizo aliomuachia marehemu mama yake mzazi.

MC Pilipili anasema mwaka mmoja kabla ya kifo cha mama yake alimuandikia barua ya kumwambia ikifika muda Mungu akimuita kuhubiri injili basi aende yeye pamoja na mke wake.

Hayo ndio maneno ya Mc Pilipili aliyofunguka leo, tuambie na wewe shabiki unadhani kazi hiyo aliyoichagua sasa kuifanya atakwenda kuifanya kwa weledi na haki, basi usisite kutupia comment yako nasi tutaisoma.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags