Mbosso: tungefanya sisi tungeambiwa tumeiga

Mbosso: tungefanya sisi tungeambiwa tumeiga

Msanii wa muziki nchini Mbosso Khan ambaye anatamba na kibao chake cha ‘Sele’, ame-post video ikionesha wanaume wenye asili ya kiarabu wakiimba wimbo unaendana na wimbo wake na kudai kuwa wangefanya wao wangeambiwa wameiga.

Mbosso kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video hiyo huku akiambatanisha na ujumbe usemao,

“Tungefanya sisi tungeambiwa tumeiga, hii ndiyo maana ya kutoa hit goma lina hit hadi linapitiwa denge kwa namna nyingine”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags