Mbosso aonesha jeuri ya pesa

Mbosso aonesha jeuri ya pesa

Wakati wengine wakiendelea kuachia ngoma na kuzipambania zifike namba ‘one on trending’ kwa Mbosso Khan yeye ni tofauti kwa upande wake ameamua kuonesha jeuri ya pesa baada ya ku-share video ikionesha amepokea ‘cheni’ ya thamani iliyochanganywa na vito mbalimbali.

Hata hivyo mkali huyo anayetamba na ngoma ya “Selemani” akaamua kurusha dongo gizani kwa kusema,

“Kila mtu avae mabati yake tunaovaa fake tuvae fake na tunaovaa original tuvae original kingine ninachopenda kwenye hii ‘cheni’ wamezingatia pua yangu”.
.
.
.
#MwnanchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags