Mb Dogg ndani ya studio za Man Water

Mb Dogg Ndani Ya Studio Za Man Water

Aisee moja kati ya habari njema huko mitandaoni ni hii hapa bwana ambapo kaa kwa kutulia na tegemea kukutana na kichupa kipya kutoka kwa Msanii Mb Dogg master Siku Za Hivi Karibuni.

Nikwambie tu hii imekuja baadaya ya kupost kupitia instastory yake Video pamoja na picha akiwa Studio na producer Man water jambo ambalo mashabiki wa msanii huyo waamini kuwa kuna ngoma inakuja hivi karibuni.

Ebwana eeeh niambie mdau ngoma gani ya msanii huyu unaikubali kuliko nyingine?tuambie hapo kupitia www.mwananchiscoop.co.tz


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post