Maua Sama: Nampenda Alikiba

Maua Sama: Nampenda Alikiba

Msanii wa muziki nchini, Maua Sama ameshare hisia kwamba anampenda msanii mwenzake Alikiba.

Maua ameweka wazi kumkubali Alikiba baada ya hivi karibuni kufunguka kwamba hakuna aliyewahi kutokea mwenye sauti kama yake kwenye kuimba.

Mwanadada huyu aliyasema maeneo hayo wakati akimjibu shabiki aliyemuuliza kuhusu uwepo wa collabo yake na Alikiba na akajibu kwamba

"Kabisa nampenda, nampenda mpaka nampenda tena".

Tuambie na wewe ni msanii gani wa kiume/kike unamkubali zaidi?

 

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post