Mason Mount hakupata jeraha, Ni mbinu za ‘kocha’

Mason Mount hakupata jeraha, Ni mbinu za ‘kocha’

Mchezaji kiungo wa ‘klabu’ ya Manchester United, Mason Mount siku ya jana alirejea uwanjani katika mchezo wa Man U dhidi ya Crystal Palace baada ya kukaa nje kwa takribani mwezi mmoja kwa majeraha.

Lakini furaha ya mashabiki ilikatika baada ya kutolewa wakati wa mapumziko huku nafasi yake ikichukuliwa na Victor Lindeloef.

Hata hivyo mashabiki wa ‘klabu’ hiyo  walidhani huenda amepata jeraha tena lakini ‘timu’ hiyo imethibitisha kuwa hana jeraha lolote na kubainisha kwamba mabadiliko hayo yalipangwa tangu mwanzo na ‘kocha’ wa ‘timu’ hiyo Ten Hag kwa ajili ya kumrejesha taratibu kwenye kikosi baada ya majeraha yake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags