Masha apata Ubalozi wa sabuni

Masha apata Ubalozi wa sabuni

Msanii wa Tamthilia na video queen Masha maarufu kama Masha Love @mashalovietz ameingia kwenye mkataba wa miez Sita ya kuwa balozi(ambassador) wa sabuni za saffron za mwanadada Ester Dalali.

Masha ameingia kwenye mkataba wa million 40 na kukabiziwa nyumba yenye thamani zaid ya million 90.

Msanii huyo ameangua  kilio mbele ya waandishi wa habari, wakati akitia saini mkataba huo ameweka wazi  kuwa hakuwahi kufikiria kama atakuwa balozi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags