Marioo: napata upendo mkubwa kutoka kwa mama mkwe

Marioo: napata upendo mkubwa kutoka kwa mama mkwe

Akiwa katika sherehe ya birthday ya mama mkwe wake #KajalaMasanja mwanamuziki #Marioo alishindwa kuvumilia kutompa shukurani #Kajala kwa kumpatia upendo kama mtoto wake.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari katika ya sherehe hiyo Marioo alisema,

 “Upendo ambao naupata kutoka kwa mama mkwe kwangu mimi ni mkubwa sana.

Mimi na mama yangu tumepanga mambo mengi sana nampenda sana Mungu afanye wepesi tufike mbali zaidi, nafurahi amenikabidhi binti yake japo sio rasmi nimefurahi na ninampenda sana mama angu God bless you”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags