Manara: Unamnunia nani, Pesa zako zipo kwenye kibubu

Manara: Unamnunia nani, Pesa zako zipo kwenye kibubu

Aliyekuwa msemaji wa 'timu' ya #Yanga #HajiManara anaendelea kuwakera watu akiwa katika maeneo mbalimbali  nchini marekani akila bata.

Wakati wa muendelezo wa kula bata amerusha dongo kwa watu wanaotunza pesa zao bila kuzitumia. Manara ameandika,

 “Unamnunia nani na wewe pesa zako zipo kwenye kibubu? Endelea kuzichungulia kila asubuhi ukiamka , zitazaa hizo usijali.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags