Manara afanikiwa kuwapatanisha wake zake

Manara afanikiwa kuwapatanisha wake zake

Alooooh! Mambo ni motroo kwa msemaji wa mbingwa sio powa kabisa yani, basi bwana kulikuwa na maneno ya chini chini kuhusiana na wake wa Haji Manara kutokuelewana, msemaji huyo jana akaamua kuvunja ukimya na kuadhihirishia umma kuwa kwasasa wake zake wote wawili wamepatana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Haji alipost picha akiwa na wake zake picha hizo zikiambatanishwa na ujumbe ukiwa unaeleza kuwa “Siku kubwa sana kwangu na kwa Wake Zangu Wapendwa, Baada ya Kula Chakula Cha Pamoja Usiku huu Hyatt Kenpinsk, Was Superb Dinner na Sasa Tunakwenda kujenga familia” ameandika Manara

Hii inamaana kuwa msemaji huyo amemaliza tofauti zake na wake zake, haya mwanangu sana dondosha komenti yako hapo chini na utujuze, je wewe unamalizaga vipi tofauti na wake zako?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags