Man City yaanza kutafuta mbadala wa Pep

Man City yaanza kutafuta mbadala wa Pep

Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.

Awali iliripotiwa kuwa ‘kocha’ huyo mwenye umri wa miaka 53 anaweza akasaini mkataba mwingine  ‘klabuni’ hapo ambapo mkataba wake wa kwanza unamalizika mwaka 2025.

Hadi kufikia mwisho wa msimu huu atakuwa ameifundisha ‘timu’ hiyo kwa misimu tisa na anaweza akaendelea kuwepo, ingawa matajiri wa ‘timu’ hiyo hawaamini kwamba atakaa muda mrefu, hivyo wameanza kuchukua tahadhari.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags