Mambo yameiva kwa Hamisa, Kevin atangaza ndoa

Mambo yameiva kwa Hamisa, Kevin atangaza ndoa

Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao.

Katika ukurasa wake wa Instagram ame-share picha wakiwa pamoja na Hamisa na kuandika ujumbe uelezao  kama watu wakisikia anafunga ndoa basi atamuoa Hamisa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags