Mama Chris Rock: Will Ametupiga Kofi wote

Mama Chris Rock: Will Ametupiga Kofi wote

Ebwana eeh! hivi unalikumbuka lile tukio la Will Smith kumpiga  kofi Chris Rock? Sasa bwana Mama mzazi wa Chris Rock amefunguka kuhusu tukio la mtoto wake kupigwa kofi.

" Will alipompiga kofi Chris, ni kama ametupiga Kofi wote, lakini zaidi ni kama amenipiga kofi mimi, Unapomuumiza mtoto wangu, unaniumiza Mimi".

Hata hivyo Mama Chris hakuishia hapo  aliongezea kuwa, 'Will alivyompiga mwanae kisa kupewa jicho la hasira na mke wake, je angekamatwa na polisi, je mwanae angepata madhara zaidi kama kuanguka, Nimefurahishwa na jinsi mtoto wangu alivyoweza kumudu hali ile bila kuonyesha hasira"






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags