Makonda awaapisha Wadudu kulinda amani Arusha

Makonda awaapisha Wadudu kulinda amani Arusha

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaapisha vijana mkoa huo wenye staili ya kipekee kuanzia mavazi hadi utembeaji maarufu Wadudu ili kuwa watu wema, waadilifu katika kutetea na kulinda usalama katika jiji hilo linalosifika kwa utalii.

Hata hivyo, tangu atue Mkoa wa Arusha Makonda amekuwa karibu na kundi hilo akiwataka kuwa watu wema na kuwaahidi mambo mbalimbali ya kimaendeleo na leo Alhamisi Mei 2, 2024 amewaapisha ili kuhakikisha wanakuwa watu uadilifu.

Jana, Mei mosi 2024 kundi hilo lilikuwa miongoni mwa waalikwa na kuwa kivutio wakati walipopita mbele ya Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Watanzania wengine katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags