Makabila asimama na wachekeshaji nchini

Makabila asimama na wachekeshaji nchini

Mwanamuziki wa Singeli #DullaMakabia atoa mtazamo wake juu ya upendo walionao wasanii wa vichekesho nchini.

Dulla amedai kuwa wachekeshaji wamekuwa na upendo na moyo wa kujitoa tofauti na ilivyo kwa wasanii wa tasnia nyingine nchini.

Katika kudai hayo Makabila ameeleza kuwa japo wasanii waliyo kwenye tasnia nyingine wamekuwa wakiwaona wachekehaji kama wakijipendekeza, lakini ukweli ni kwamba wachekeshji wanaupendo wa hali ya juu kulio wasanii wengine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags