Maendeleo ya Mr Ibu baada ya kukatwa mguu

Maendeleo ya Mr Ibu baada ya kukatwa mguu

Baada ya familia ya muigizaji kutoka nchini #Nigeria Mr Ibu kukatwa mguu kwa ajili ya kuokoa maisha yake, binti yake anaye fahamika kwa jila la Chioma Jasmine amewatoa hofu mashabiki kwa kueleza maendeleo ya baba yake.


Kupitia ukurasa wa #Instagram wa #Jasmine ame-share video akiwa hospitali anampatia baba yake chakula ikionesha hali ya muigizaji huyo inaendelea kuimarika.

#MrIbu alikatwa mguu wake mmoja mwanzoni mwa mwezi huu kwa ajili ya kuokoa maisha yake ambapo mpaka sasa familia haijaweka wazi maradhi yanayo msumbua muigizaji huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags