lunya studio na billnass

lunya studio na billnass

Yes, mdau nikwambie tu tegemea kukutana na ngoma mpya kutoka kwa wakali Young lunya pamoja na Billnass ikiwa kwenye mikono ya producer s2kizzy siku za hivi karibuni.

Hii imekuja baada ya lunya kupost katika insta story yake akiwa na mzee mzima Nenga pamoja na zombie wakiwa wanapika jambo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags