Lulu aonyesha nyumba yake

Lulu aonyesha nyumba yake

Moja ya story inayobamba huko mitandaoni ni ya msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ambaye ameonyesha nyumba yake alioanza kuijenga tangu akiwa na umri wa miaka 14.

Lulu wakati akionesha nyumba hiyo ameonekana mtu mwenye furaha kubwa kwa kuweza kufanikisha jambo hilo ambalo amedai ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu.

Kupitia Insta Story Lulu ameandika “Nikiangalia hii nyumba nakuwa So proud of myself kwa kweli, nilianza kujenga nikiwa na miaka 14 tu, ofcoz kidogokidogo kwa hela za deals nilizopata coz hela ya pamoja sikuwa nayo na kwa usaidizi wa mama Shikana,” amesema

Hata hivyo baadhi ya mashabiki zake wamejitokeza na kumpongeza kwa hatua hiyo kubwa katika maisha yake na kumtaka kuendelea kupambana katika kujitafutia maendeleo.






Comments 5


  • Awesome Image
    Kings ink creation

    😂😂kila ambae huwa anapitia hiyo situation hujakuwa mtu mbunifu sana... trust the process na itafika muda the process will trust you💪🏽

  • Awesome Image
    Raphi iddy

    Congratulations, Female under trial and performance. Hongera @Twalhatkione

  • Awesome Image
    Lee

    Love u tee be blessed girl

  • Awesome Image
    Ceaser

    😘😘😘congrats wee mbuziiiii

  • Awesome Image
    Abdillah Sabuni

    One of beautiful minds i know,keep it up boss☺

Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags