Lukamba adai kuibiwa milioni 200

Lukamba adai kuibiwa milioni 200

Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Lukamba ameeleza sababu ya kukaa kimya bila kutoa wimbo amesema kuwa ametapeliwa tsh 200 milioni.

Lukamba kupitia #Instastory yake ameandika ujumbe akidai kuwa ametapeliwa milioni 200, na amewasilisha malalamiko yake katika vyombo vya sheria na BASATA. Hata hivyo msanii huyo amesema hivi karibuni ataachia wimbo wake mpya wa ‘Hela’.

Ikumbukwe hivi karibuni wasanii @diamondplatnumz na @harmonize_tz nao walidai kutapeliwa. Je unafikiri ni kwanini siku hizi wanamuziki wanadai kutapeliwa?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags