Leslie afichua Chris kupata ushauri nasaha  baada ya kupigwa kofi na Will

Leslie afichua Chris kupata ushauri nasaha baada ya kupigwa kofi na Will

Mchekeshaji Leslie Jones ambaye ni rafiki wa karibu wa Chris Rock afichua athari alizopata Chris baada ya kupigwa kofi na Will Smith hadi kwenda kwa mshauri nasaha.

Leslie amedai kuwa kofi hilo lilifahamika duniani kote hivyo lilileta athari si tu kwa Chris bali hadi kwa familia yake ikiwemo wazazi wake na mabinti zake, kwani lilikuwa ni tukio la kufadhehesha katika usiku wa Oscars mwaka 2022.

Hivyo basi kutokana na fedheha hiyo ilimbidi Chris na mabinti zake kwenda kupata tiba ya ushauri nasaha ili kuwa sawa kiakili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags