Lamata amvuta Waziri Pindi Chana kwenye uigizaji

Lamata amvuta Waziri Pindi Chana kwenye uigizaji

Muongizaji filamu Tanzania Lamata Leah, amewafurahisha na kuwaacha wengi katika mshangao baada ya kumuweka Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk, Balozi Pindi Chana Chana kwenye tamthilia yake ya Jua Kali akiwa na uhusika wa Paulina.

Kwa mara ya kwanza siku ya leo kwenye tamthilia hiyo Waziri ameonekana jambo lililopelekea wengi kutamani kuona uhusika wake zaidi atakavyocheza kwenye Tamthilia hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags