Lady Jaydee: Uzee niliuacha shinyanga, Hapa Dar naitwa baby

Lady Jaydee: Uzee niliuacha shinyanga, Hapa Dar naitwa baby

Mwanamuziki mkongwe nchini #LadyJaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe akisema uzee aliuacha Shinyanga huku mjini anaitwa baby, huku akiwataka watu wafanye diet ili waache kumtusi.

Jaydee ameandika, “basi jeraaaaaas zitaacha ku-enjoy weekend na kuanza kuniita mzee, uzee niliuacha Shinyanga, hapa Dar naitwa Beibee fanyeni diet ili muache kunitusi”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags