Kutana na SHUKURU KAJUJU, Producer kutoka chuo cha NIT anayekimbiza tasnia

Kutana na SHUKURU KAJUJU, Producer kutoka chuo cha NIT anayekimbiza tasnia

Ohooooo hivi kijana ulioko chuoni kwa sasa unafahamu baada ya kumaliza masomo yako nini cha kufanya ili kusurvive maisha ya mtaani? Maana maisha ya kitaa sio ya mchezo mchezo mtu wangu! Lazima ujipange na ufahamu utatumia njia gani ili uweze kupambana na Maisha, kwa kuhakikisha elimu uliyoitafuta ndani ya miaka mitatu inakupa fikra chanya yakuweza kujisimamia.

Kajuju maarufu kama Producer Mido Man ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Usafirishaji Tanzania (NIT), mwaka wa pili, akichukua course ya Information Technology (IT).

This story is available exclusively to MWANANCHISCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags