Kumbe Rashford na Pogba walikataa unahodha

Kumbe Rashford na Pogba walikataa unahodha

Ikiwa ni siku chache tangu aliyekuwa ‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited ,Ole Gunnar Solskjaer kunukuliwa akisema kuna wachezaji wawili walikataa cheo cha Unahodha wakati wa utawala wake, imegundulika ‘mastaa’ hao ni #MarcusRshford na #PaulPogba

Aidha Pogba alikataa kwa madai alikuwa na mpango wa kuondoka, na Rashford alidai hayupo tayari kwa cheo hicho. Miezi kadhaa baada ya hapo Ole akamkabidhi mchezaji #HarryMaguire cheo hicho

Je, unafikiria hawa majamaa sababu zao za kukataa cheo hicho zilikuwa za msingi?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags