Konde kuwakutanisha Babalevo, Mwijaku, Hbaba pamoja

Konde kuwakutanisha Babalevo, Mwijaku, Hbaba pamoja

Baada ya kumaliza yarch party usiku wa kuamkia leo, Harmonize ameanda party nyingine na kuwaalika waliowahi kufanya kazi na yeye akiwemo Babalevo, Mwijaku na Hbaba na kueleza kuwa yoyote atakaye jitokeza mapema ndio alikuwa rafiki yake wa kweli.

Harmonize ameeleza hayo kupitia instastory yake alipoandika

“Leo nina furaha!! Ambayo inaweza nifanya nimuite Mwijaku, Babalevo na Hbaba pamoja!!! Leo ndio utagundua nani na nani walikuwa upande wangu kinafki na nani alikuwa upande wangu kimaslahi binafsi nataka kujua nani alikuwa mshikaji wa kweli kati yao.

Atakae wahi kufika na akavaa amependeza na nyeupe zake vizuri huyo ndio mumzingatie Zaidi mjue kabisa alikuwa rafiki dam dam!!! Leo! Leo! Village!!1 no media no recording for memory!!!”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags