Kocha Tuchel avunja mkataba na Bayern Munich

Kocha Tuchel avunja mkataba na Bayern Munich

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #BayernMunich, #ThomasTuchel amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake, na ‘timu’ hiyo mwezi Juni mwaka huu ambapo awali mkataba huo ulitarajiwa kutamatika 2025.

Kwa mujibu ya Sky Sport News imeeleza kuwa #Tuchel amedai kuwa yeye na ‘benchi’ la ufundi watafanya kila wawezalo kuiwezesha ‘timu’ hiyo kufanya vizuri kabla hajaondoka ‘klabuni’ hapo.

Ikumbukwe kuwa raia huyo wa Ujerumani alichukua mikoba ya ‘kocha’ #JulianNagelsmann mwezi Machi mwaka 2023.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags