Klabu ya Juventus yakanusha kumtema Pogba

Klabu ya Juventus yakanusha kumtema Pogba

Ofisa mkuu wa klabu ya  Juventus  Francesco Calvo amekanusha tetesi zinazo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa upo mpango wa kuvunja mkataba na mshambuliaji wao Paul Pogba.

Tangu mchezaje huyo ajiunge katika klabu hiyo akuwahi kucheza mchezo wowote kutokana na jeraha la goti alilolipata.

"Hatuna mpango huo, Paul ni mchezaji muhimu sana kwetu majeraha ni sehemu ya mchezo, kwa sasa anaendelea vizuri na mazoezi na tunamsubiri." Ameeleza Ofisa Calvo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags