KimKardashian Aitamani Ndoa ya nne

KimKardashian Aitamani Ndoa ya nne

Moja kati ya story ambayo iko mitandaoni ni hii hapa inayomuhusu Mwanamitindo na mfanyabiashara KimKardashian Atamani Kufunga Ndoa Kwa Mara Ya Nne (4)

 KimKardashian amefunguka taarifa hizo kwenye Episode ya The Kardashians,Kim  amesema "Natumai Kutakuwa na Ndoa nyingine kwangu, mara ya Nne (4)".

Sasa bwana hizi ndizo ndoa ambazo amefunga Mwanamitindo huyo ikiwemo ya Damon Thomas + Kim mwaka 2000 hadi 2004, Kris Humpries+Kim 2011 -2013,na Kanye West +Kim 2014- 2022.

Hii ya nne sasa je nani anafata?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags