Kilichofanya Tiwa na Davido kufuta urafiki chafichuka

Kilichofanya Tiwa na Davido kufuta urafiki chafichuka

Hatimaye wapenzi wa muziki wamepata majibu ya kilichokuwa kikiendelea kati ya wanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage na Davido baada ya wawili hawa kufuta urafiki kwenye mitandao yao ya kijamii.

Tiwa Savage amepeleka mashitaka polisi akidai kuwa amepokea vitisho kutoka kwa Davido vya kufanyiwa ukatili wa kimwili, Tiwa ametaka mamlaka hiyo kuingilia kati haraka suala hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags